Tinini

Album cover art for "Tinini" by Zuchu & H_art the Band

Zuchu & H_art the Band - Pop, Bongo Flava

Tinini

0 Plays

Duration: 3:52

View Album

Lyrics

[Intro : Zuchu] Mhh mhh Mhh mhh Mhh mhh [Verse 1 : Zuchu] Mapenzi safari Ya kwetu mi na we ndo kwanza yaendelea Tukose gari Msitu na nyika mi nawe tutatembea Kama bahari Ya kina kirefu badfo tutaogelea Tukose meli Mawimbi makali amini tutaelea [Pre Chorus : Zuchu] Baby like the stars, in the sky Like the shadow by your side You be my husband I'll you wife Nwokeoma I swear I swear you are my pride Just look me right in to my eyes In the fire you be my ice [Chorus : Zuchu] Na baby you You make my heart go tinini You make my heart go tanananana Na because of you Mwenzako mwili wangu tinini Kamoyo kangu kote, tanananana Oh yeah Tinini, tanananana Tinini, tanananana Tinini, tanananana Tinini, tanananana Tanananana Tinini (my body goes) Tanananana (and my soul) Tinini (moyo wangu) Tanananana (mpaka roho) Tinini, tanananana Tanananana [Verse 2 : H_art The Band] Mukhana nina roho moja Na ninafuta mmoja Nitakaye mmbembeleza tenderea siunajua Kwa hakika ni wewe tu Kwa moyo wangu nimechora tatoo Hata kama kwa dini ni tabo Wapee kisogo kwani ni Nini watadoo ? Wacha waone gere mimi na wewe daily Kama vibes true basi wewe ndiyo very Kama gari vroum basi mimi ndiye dere Kwa wimbi la mapenzi naomba niwe wako ferry [Pre Chorus : H_art The Band] Like the stars, in the sky Like the shadow by your side I'll be your husband you'll be my wife My beibe beibe I swear I swear you are my pride Just look me right in to my eyes I'll be the fire to your ice [Chorus : Zuchu] You make my heart go tinini Tanananana Tinini, tanananana Tinini, tanananana Tanananana Tinini (my body goes) Tanananana (and my soul) Tinini (moyo wangu) Tanananana (mpaka roho) Tinini, tanananana Tanananana [Outro : H_art The Band] Ni siku ya tatu sasa tanapatana Na yeye kwa matatu Leo kwanza amedunga trao flani tight ya khaki Na top moja kalo iko Na print ya chatu Najipata leo hatujaketi pamoja Ameketi toka kwa conductor nyuma karibu kiti ya tatu Mi biko opposite kwa kiti ya watu watatu Niko corner yaani mtu wa tatu Kawaida mimi huwa kimbelembele Yaani kumapproach kumsalimia Na kumwambia vile roho yangu anafanya inaskia Lakini na huyuu, na huyu mi najipata speechless Ka mgonjjwa ameamka asubuhi akajipata amepona upele Najiambia leo ni leo Leo lazima nikusalimie nikwambie vile wewe ni mrembo Na tangu nikuone day one sijakuwa nikkala tena saa tatu Kejani ni malate night tu Masoap nikijiskizia MaRnB na Mablues pia Plus malove song flani funny-funny sijawai dhani watu huskia, Yaani

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • Mocco Genius