Antenna

Album cover art for "Antenna" by Zuchu

Zuchu - Pop, Amapiano

Antenna

0 Plays

Duration: 2:35

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Intro] Ah Pablo, ukigusa biti nashtuka Naona kama napanda mizuka Na kichwani shanijaa chupa Ah Pablo, ukigusa biti nashtuka Naona kama napanda mizuka Na kichwani shanijaa chupa (Mr. LG) [Pre-Chorus] Lazima irudiwe sababu nnataka tena Hili goma noma limemkuna kwenye mtima Sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema Kwanza mnipepee, nina jasho mwili mzima [Chorus] Haya sasa, vidaleki antenna, zungusha antenna Vidaleki antenna, zungusha antenna Vidaleki antenna, zungusha antenna Vidaleki antenna, zungusha antenna (Eya, eya, eya, eya) [Verse 1] Eh, piano iyo ih, piano iyo ah Na biti la LG, bana linanoga Piano iyo ih, piano iyo ah Na biti la LG, bana linanoga Ebu kwanza tucheze munike Mwite yule aje akatike Ashurey, ndo atetemeke Nzowa mkono, upande ushuke Twende vimacho we nipe vimacho Haya vimacho tikisa vimacho Twеnde vimacho we nipe vimacho Haya vimacho tikisa (еya) [Pre-Chorus] Lazima irudiwe sababu nnataka tena Hili goma noma limemkuna kwenye mtima Sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema Kwanza mnipepee, nina jasho mwili mzima [Chorus] Haya sasa, vidaleki antenna, zungusha antenna Vidaleki antenna, zungusha antenna Vidaleki antenna, zungusha antenna Vidaleki antenna, zungusha antenna (Eya, eya, eya, eya) [Outro] Ah Pablo, ukigusa biti nashtuka Naona kama napanda mizuka Na kichwani shanijaa chupa Ah, (comics Lizer)

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • Mr LG