Cherie

Album cover art for "Cherie" by Zuchu & Lava Lava

Zuchu & Lava Lava - Pop, Bongo Flava

Cherie

2 Plays

Duration: 3:44

View Album

Lyrics

Language:

[Verse 1: Lava Lava] Mwenzako najiuliza Hivi umeumbwa muda gani Uzuri wako umeupata Turkey Au kwa mama nyumbani Nataka nikupe Visa CV Uwe wangu Rubani Mana kwako sifurukuti Sina ujanja yani (ah ah) Silali nikasinzia kutwa uko kichwani darling Moyo ungekuwa nguo ningekupa uvae Ama Mungu angenijalia ningekuwa tajiri madolali Basi ningekupa rupia maishani ikufae Kutwa nikijipitisha kwa mitandao kukufungua Yani unawakomeshaga Insta Tiktok unawasumbua Siishi kujicomentisha Haki ya Mungi unanizuzua Vifilta unavyo jiwekaga kujiedit na vimauwa [Pre Chorus : Lava Lava] Navyokupenda eh mwenyewe najishanga (Navyokupenda eh mwenyewe najishanga) Ah! Navyokupenda, mwenzako najishanga (Navyokupenda eh mwenyewe najishanga) [Chorus : Lava Lava & Zuchu] Sijui nikwite nani Cheri ama baby Nikwite nani Cherie (laazizi) ama baby Nyonda wa ubani Cheri ama baby Eti nikuite nani Cheri ama baby (Nani nikuitе) [Bridge : Zuchu] Eh hehehe Chеrie na ngai eh Sikia hi [Verse 2 : Zuchu] Sina baby sona Nionge kwa kilugha gani unielewe (Ashraf minyama) Mwenzako nikikuona Moyo unacheza buga unacheza msewe (Natikisika) Ai, umenipa penzi mvinyo Nami, nimelewa tikitiki Aii, ukinishika chamwino Ai, kelele mpaka kibiti ai wewe Majii jamani maji (Yanaufata mkondo) Speed yake ya boda sio ya kibajaji (Na atumi mkongo) Ai, majii jamani maji (Yanaufata mkondo) Mwendo wake wa boda sio ya kibajaji (Na atumi mkongo) [Pre Chorus : Zuchu] Navyokupenda eh mwenyewe najishanga (Navyokupenda eh mwenyewe najishanga) Ah! Navyokupenda, wallah najishanga (Navyokupenda eh mwenyewe najishanga) [Chorus : Zuchu] Ee! Asa nikwite nani Cheri ama baby Nyonga mkalia lni Cherie ama baby Cherie na ngai eh Cheri ama baby My sweet sweet chocolate Cheri ama baby [Outro : Lava Lava] Asa baby ringa ringa ringae Ringa baby, ringa ringae Ringa baby, ringa ringae Na mgongo pindae katika wakuone Ringa ringae Ringa baby, ringa ringae Ringa baby, ringa ringae Na mgongo pindae katika wakuone

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • Gopa Beats