Nisamehe

Album cover art for "Nisamehe" by Zuchu

Zuchu - Pop, Tanzania

Nisamehe

5.8K Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Verse 1] Kukuhini Kusiokwisha Kumeangukia Pemani Roho Yanidadarika Kashantoka Shetwani Nimeumbiwa Makosa Mwanadamu Na Mimi Moyo Umekunja Ndita Nakumiss Jamani [Bridge] Ngumu Safari Nlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh! Ukakosa Seat Mmiliki Gari Lako Mwenyewe Eh! Nikajiveka Mashati Nikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh! Kweli Mbaya Halisi Na Wema Hakosi Eeeh Eh! [Chorus] Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nisamehe [Verse 2] Eeeh! Chozi Dibwidibwi Nachanganyikiwa Na Vilio Sishikiki Niko Magharibi Lizamapo Jua Wewe Upo Mashariki Zawadi Vipochi Vijuisi Vipipi Nazimiss Chocolate Nimekoma Dear Nilivyonyongea Huba Zako Sizipati Tabibu Kunikomesha Umepata Toto la Kitanga Sababu Umeichoka Jeuri Yangu Ya Kipemba Lile Gubu Limeniisha Kabisa Baby Hali Nanga Aibu Wananicheka Wajinga Rudi Nakuomba [Bridge] Ngumu Safari Nlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh! Ukakosa Seat Mmiliki Gari Lako Mwenyewe Eeh Eh! Nikajiveka Mashati Nikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh! Kweli Mbaya Halisi Na Wema Hakosi Eeeh Eh! [Chorus] Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nisamehe [Outro] Eeeh! Nikikaa Nawazaa Nimuingie Kwa Style Gani Nimlilie Niseme Nna Mimba Kasahau Tshirt Nyumbaani Nashindwa Kujizuia Uvumilivu Unanishinda Kwanini Nikimpigia Kusudi Zake Na Akipokea Eti Haloo Wewe Nani? Iiiiih! Iiiih! Na Namba Kakupa Nani? Mara Oooh Kumbe Wewe Unafanya Issue Gani? Siku Hiziiiii Iiih! Me Msanii Anajua Ina Maana Hanioni? Kwenye Tv Iiiih! Aah! Aih Wewe! Aah! Aih Wewe!

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Zuchu