Mama

Album cover art for "Mama" by Zuchu

Zuchu - Pop, Tanzania

Mama

0 Plays

Duration: 3:04

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Intro] Heh! Zuchu, Chu, Chu, Chu Gogu (Ayo Lizer) [Verse 1] Mmh, rafiki yangu kwenye shida Rafiki yangu kwenye raha Niko nae kila mida, hajawahi nikataa Yuko radhi mi kushiba, yeye ndo ashinde njaa Sio mwengine ni mama Labda nkupe picha Uone nafasi yako maana Nikikukosa kwenye maisha Eh-eh, kiukweli itanichanganya, eh-eh-eh [Pre-Chorus] Mitihani Yake yangu mimi Nikulipe nini Kiasi gani mi sioni, oh, mama [Chorus] Mama, I love you, mama Mama, nakupenda sana Mama, I love you, mama Mama, nakupenda sana [Verse 2] Eh, Mola uliejaa rehema natanguliza shukrani (asante) Bila huyu mama mwema ngekua mgeni wa nani (asante) Mnaowavunjia heshima nyie munawezaje kwani Mimi wangu akinuna, moyo unakosa amani [Pre-Chorus] Mitihani Yake yangu mimi Nikulipe nini Kiasi gani mi sioni, oh, mama [Chorus] Mama, I love you, mama Mama, nakupеnda sana Mama, I love you, mama Mama, nakupenda sana [Outro] Hey, mamangu njoo tuchеze kandili (kandili katikatikati katikati) Mmamangu cheza kandili (kandili katikatikati katikati) Tingisha kiwiliwili (kandili katikatikati katikati) Kakaka (kandili kati)

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • Ayo Lizer