I Don’t Care

Lyrics
[Intro] Trone basi tulikunje Zuchu chu chu chu chu Ayo trone [Verse 1] Maneno yenu, sio msumari Kusema kwamba yatanitoboa Na tena wala, wala sijali Sioni jipya la kunikomoa Mnachojua majungu Binadamu mnachosha Akishanipenda Mungu Na mama yangu inatosha Money on my mind, God on my side Sina muda, muda wa negativity Money on my mind, God on my side Sina muda, muda wa negativity Nyi mkinisema-sema mjue ndo napenda Nyi mkinisema-sema mjue naona raha Nyi mkinisema-sema mjue ndo napenda Nyi mkinisema-sema mjue naona raha [Chorus] I don't care I don't care I don't care I don't care [Verse 2] Riziki yangu Ndandunda Ila mi wa leo sio wa jana Kweli sijavuna Matunda Ila walao hawakosi mlo mama Na wenzangu nawatunza Ndoto zao ziweze fana Japo shukrani ya punda Wakishapata wanantukana Mnachojua majungu Binadamu mnachosha Akishanipenda Mungu Na mama yangu inatosha Money on my mind, God on my side Sina muda, muda wa negativity Money on my mind, God on my sidе Sina muda, muda wa negativity Nyi mkinisema-sema mjuе ndo napenda Nyi mkinisema-sema mjue naona raha Nyi mkinisema-sema mjue ndo napenda Nyi mkinisema-sema mjue naona raha [Chorus] I don't care I don't care I don't care I don't care
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Producers
- I am trone