Hujanizidi

Lyrics
[Intro : Zuchu] Haya haya Haya haya Oh oh Haya haya Haya haya [Zuchu] Yani mara kuma ungekua mbaya Halafu ungekua na hela Lakini tatizo lako mbaya Halafu hauna hela Ni mara kumi ungekua kijusu Halafu ungekua na hela Ila attizzo lako kijuso halafu hauna hela [Zuchu] Ah, sa mbona unapata tabu kujichubua Tako huna unafosi kujibinua Baby wangu hajadata na chura ka hujajua Kadata na mambo matamu nayomgea Nkwambie wewe Kwa uzuri hujanzidi mimii Kwa utamu hujanzidi shoga yangu Kwa uzuri hujanzidi mimii Kwa utamu hujanzidi shoga yangu [D Voice] Na huyo baby wako alikuwa wa kwangu Kabla ya kuwa wa kwako Hauniambi kitu kuhusu yeye Hata kulala alilala kwangu Kabla ya kulala kwako Kwahiyo unitishi mbwa wewe Oya weeh, hakuna udichonizidi cha kunipa stress We nyota yako ya kuni mie mwenzako ya gesi Mwenzako uzuri wako natural sio wako wa kufeki Mwana mwenzangu una rangi nyingi ka combatí ya jeshi [D Voice] Sa mbona unapata tabu kujichubua Tako huna unafosi kujibinua Baby wangu hajadata na chura ka hujajua Kadata na mambo matamu nayomgea Nkwambie wewe Kwa uzuri hujanzidi mimii Kwa utamu hujanzidi shoga yangu [Zuchu] Ooh kwa uzuri hujanzidi mimii Ai udugu we kwa utamu Hujanzidi shoga yangu Haunitishi hunisumbui, hujanzidi mimi Jiangalie kuvaa hujui, hujanzidi shoga yangu [Zuchu] Aii, Hapo kwanza ncheke Wanangu baado sijasikia shangwe Kama umeme umerudi (Wooo) Masela baado sijaskia shangwe Kama umeme umerudi (Woo) Aii mara tеna umekataa (Aah) Mama, mara tena umerudi (Wuoo) Wеwe mara tena umekataa (Aah) Twende show me gidi gidi gidi Baby gidi gidi gidi Twende gidi-gidi, gidi, gidi wee Gidi-gidi, gidi Kwanza muone ampandwa na ibilisi Alikaa pembeni hivi sasa ameingia kati Ona mwili mkubwa kumbe kibonge mwepesi Kulia kushoto, dunda kama kitenesi Twende sasa Gidi, gidi, gidi Gidi-gidi, gidi Twende gidi-gidi, gidi, gidhi wee Gidi-gidi, gidi Aii, Hapo kwanza ncheke [D Voice] Oya we We hili goma noma kwani amelipiga nani Mana wanafanya wanangu kama wamepandwa shetani We hili goma noma kwani amelipiga nani Maana wanavua mashati kwenye miti wanachuma majani Oya wanachuma majani Wanaleta majani Mama wanachuma majani Wanaletya majani oyaa [Outro : D Voice] Diblo Nipenipe Nipe tena Diblo Nipenipe Nipe tena
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Producers
- Diblo one touch