Nimechoka

Album cover art for "Nimechoka" by Zuchu

Zuchu - Pop, Bongo Flava

Nimechoka

0 Plays

Duration: 3:51

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Intro] Lalalalala Lalala Lalala Ooh ooh ooh Mr LG [Verse 1] Umenjengea kumbukumbu Mbaya kwenye penzi lako Siwezi rudi hata unishikie bakora Nanena kwa machungu umentendea vibaya Mi, mwana mwenzako Kwa makusudi furaha umenipora Aah, asante umenifunza Nionapo njia mbili nichague ya kuvuli Mimi, mi sio wa kwanza kuumizwaa Wanatendwa matajiri, sembuse mi wa sifuri [Pre-Chorus] Aah, na nakujua kwa kumsingizia shetwani Huyo ni wewe, ni wewe, ni weewe Ukinikumbuka usijipigishe yutaniii Uniache mwenyewe Mwenyewe, mwenyewe niache [Chorus] Nimechoka, nimechoka Nimechoka, baasi Nimechoka, nimechoka Nimechoka, baasi [Verse 2] Eh,hasira Hasira ndo maradhi yangu Hasira, nimepoteza muda wangu Jamani hasiiira, hasira ndo ugonjwa wangu Hasira, nimepoteza lengo langu Sitamani sitamani makosa niyarudie Isiwe desturi yangu kuuchuza moyo uumie Bora nirudi nyumbani Pemba wanitambikie Nifungwe akili yangu, mawazoni nikutoe [Pre-Chorus] Ooh maana nakujua kwa kumsingizia shetwani Huyo ni wewe, ni wewe, ni weewe Ukinikumbuka usijipigishe yutaniii Uniache mwenyewe Mwenyewe, mwenyewe niache [Chorus] Nimechoka (nimechoka), nimechoka (nimechoka) Nimechoka, basii (we shika zako nami nishike zangu) Nimechoka (nimechoka), nimechoka (nimechoka) Nimechoka, basii

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • Mr LG