Wale Wale

Album cover art for "Wale Wale" by Zuchu & Diamond Platnumz

Zuchu & Diamond Platnumz - Pop, Bongo Flava

Wale Wale

2 Plays

Duration: 3:54

View Album

Lyrics

Language:

[Intro] Sisi ndo wale wale Mlio tukataa Mkasema hatufiki mbalee (Na Simba lamaa) Sasa tumejipata Ni Zuchu chu chu chu chu Hehehee (Ay-Ayo Trone) ai wewee Troniiiiii, heee! [Verse 1 : Zuchu] Ayayayaya ulivyonipiga juju Ulidhani nitagwaya, hukujua nina Mungu Ayayayayaya eti nile chukuchuku Mambo yangu yako sawa Nishashiba kukukuku Hee! Chote ni choyo na sijalii Ndio kina waumiza Na Mungu wangu, (Na Mungu wangu) Yu Ngangari, cheza nami atawamaliza Karibu ntanunua gari nakuja kwenu Itaneni muambizane mje mjae (Mama Sumaaa) Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu Mi ndo yule mlikatazwa msicheze nae Sisi ndo nani [Chorus : Zuchu] Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale) Mlio tukataa (Mlio tukataa) Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani) Sasa tumejipata (Aii aaah hee) Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa) Mlio tukataa (Mlio tukataaa) Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani) Sasa tumejipata aritikitiki tikitiki Eeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee! Arerererere are tokoto tokoto Tokoto tokoto tokoto tokoto hee! [Verse 2 : Diamond Platnumz] Ooh, eti ntakufa, kwani we utaishi milеle Nilipozitafuta, mbona mliniacha mwenyewе Hizo chuki na pupa ooh, ndo zinofanya mchelewe Kwa kushinda kutwa, roho mbaya na viherehere Hee na mwaka huu Mtaisaga rumba, eh kwanini Maana nimemowomba Mungu mpaka nyumba Na mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumba Eeh waganga, waganga wenu wambieni wakoleze ndumba Ah, oh! Binadamu ni waajabu sana, jaabu sana Wana maneno ya kukatisha tamaa Binadamu ni waajabu sanaaa Wana matendo ya kuumiza sana Walisema eti nna nuksi ya senti (Kapachuka) Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti Nani wa kunidate bega kama kenchi Kudadeki zenu asa mbona mnakechi Oooh, sisi ndo walewale [Chorus : Zuchu] Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale) Mliotukataa (Mliotukataa) Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani) Sasa tumejipata (Aii aaah hee) Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa) Mliotukataa (Mliotukataaa) Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani) Sasa tumejipata aritikitiki tikitiki Eeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee! Arerererere are tokoto tokoto Tokoto tokoto tokoto tokoto hee!

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • I am trone