Mwizi

Lyrics
[Intro] Ayo Lizer [Verse 1] Do you know ? When you call me your queen Mwenzako, I feel so happy, happy Do you know ? That you're my favourite human being Unakuaga so lovely, lovely, mmh [Pre-Chorus] Ah, jamani mwiei moyo kaniibia Nahisi kihirizi ah, kanichimbia Mana uchizi si uchizi nachanganyikiwa Mapenzi kikohozi, kwake nimepaliwa [Chorus] Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya) And I swear to God kwako hoi Nyang'anyang'a (nyang'anyang'a) Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya) And I swear to God kwako hoi Nyang'anyang'a (nyang'anyang'a) [Verse 2] Oh, tazama ndege angani wanaimba na kucheza Zunzunzun! wewe nama nyukilia we Niliomba dua nami nipate wa kunipendeza Mungu tu alie mwema amenipa we (Na mimi Mungu wetu mwema ndo amenipa we) Omalinchanmwa, huoni ka' tunaendana Wenyewe tumetulizana, tabia vimo twafanana (sana) Mapenzi bwana, hata tugombane mchana Usiku tumeshapatana twachеka na kutekenyana (sana) [Pre-Chorus] Jamani mwizi moyo kaniibia Nahisi kihirizi, ah, kanichimbia mama Maana uchizi si uchizi nachanganyikiwa Mapenzi kikohozi, ah, nimеpaliwa [Chorus] Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya) And I swear to God kwako hoi Nyang'anyang'a (nyang'anyang'a) Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya) And I swear to God kwako hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Producers
- Ayo Lizer