Makonzi

Album cover art for "Makonzi" by Zuchu

Zuchu - Pop, Amapiano

Makonzi

0 Plays

Duration: 2:56

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Intro] LG ih LG ah, ah ah Mr LG [Verse 1] Ndo kakwambia ataniacha Haha hehe unachekesha sana Hizo ni ndoto za alinacha Haha hehe anakundanganya Hata umpe nini Hunin'goi Unajisumbua mwaya Huyo bila mimi, hatoboi Nimemshika pabaya [Pre Chorus] We chezewa ukimaliza kwenda Hatuachani kisa ujinga We chezewa ukimaliza kwenda Hatuachani kisa ujinga Na nikikukuta nae [Chorus] Patachimbika Nitakutia makwenzi Nitakutikisa Patachimbika Nitakutia makwenzi Nitakutikisa [Verse 2] Kwanza unitambie umenizidi nini Kubattlle na mie Uje na wenzako tisini Uliza uambiwe Mimi mtoto wa nani (Kapaa) Ukijifanya chawa Mi mwenzako kunguni Huna nini ? Huna jipya nenda kwa mwampopo Kikisafishwa labda ndo upate soko Huna nini ? Huna jipya nenda kwa mwampopo Kikisafishwa labda ndo upate soko [Pre Chorus] We chezewa ukimaliza kwenda Hatuachani kisa ujinga We chezewa ukimaliza kwenda Hatuachani kisa ujinga Na nikikukuta nae [Chorus] Patachimbika Nitakutia makwenzi Nitakutikisa Patachimbika Nitakutia makwenzi Nitakutikisa

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • Mr LG