Nitongoze

Album cover art for "Nitongoze" by Rayvanny & Diamond Platnumz

Rayvanny & Diamond Platnumz - Pop, Amapiano

Nitongoze

2 Plays

Duration: 3:05

Lyrics

Language:

[Intro: Rayvanny& Diamond Platnumz] Weka shida chini glasi juu tujipongeze Usijali wanafki wambea chapa mziki, wote tucheze Haha, Vanny Boy Chui Platnumz (S2kizzy baby) [Verse 1: Diamond Platnumz] Ah maswali mengi kwa waiter Hauna hela nini? (Eti) Hiyo shi' ngapi, hii shi' ngapi? Hauna hela nini? (Eti) Maswali mengi kwa waiter Hauna hela nini? (Eti) Ile shi' ngapi, hii shi' ngapi, hauna hela nini? [Pre-Chorus: Rayvanny] Nimeachwa staki tena maswali Naenda beachi kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo liko wazi sema nitakubali [Chorus: Diamond Platnumz] Ati unanitaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unanitaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unanitaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Eish, unanitaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Eh bwana we [Verse 2: Rayvanny] Hela ya kodi nainywea pombe Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde Na kama hayanogi mapenzi usikonde Akiringa akwende chukua mwinginе sio kinyonge [Refrain: Diamond Platnumz] Osh yu kwapi? Enh yu kwapii huyo? (Basi nitongoze) Yu kwapi? Yu kwapi huyo? (Basi nitongoze) Yu kwapi? Yu kwapi huyo? (Basi nitongozе) Yu kwapi? Yu kwapi huyo? (Basi nitongoze) [Pre-Chorus: Rayvanny] Nimeachwa staki tena maswali Naenda beachi kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo liko wazi sema nitakubali [Chorus: Diamond Platnumz] Ati unanitaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unanitaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unanitaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unanitaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Eh bwana we [Outro: Rayvanny] (S2kizzy baby) Zombie Onyesha boxer ash tuone boxer aosh Nyanyua shati ingia kati tuone boxer Onyesha boxer ash tuone boxer aosh Nyanyua shati ingia kati tuone boxer

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • S2Kizzy