Kaniacha

Album cover art for "Kaniacha" by Rayvanny

Rayvanny - Pop, Bongo Flava

Kaniacha

1 Plays

Duration: 3:55

View Artist

Lyrics

Language:

[Verse 1] Sijuwi number yangu alifuta Hivi waga ananikumbuka Mapenzi yetu yali kufa haaka Nime kuja vuta shuka kumekucha Aliniambiya ananipenda nikalema Huba ZIto fukizo pemba nikala raha Leo siamini amekwenda n'a kesha bar Mjanja wa mjini amenitenga kwenye mataa [Bridge] Picture zake natamani ni chome Sura yake sitamani nione Maumivu kwake nifanye je nipone Penzi lake limefanyo nikome [Chorus] Kaniacha Shemeji yenu Kaniacha Mchumbo wangu Kaniacha Shemeji yenu Kaniacha Mchumbo wangu [Verse 2] Bado Siamini ah Ivini mimi dah Waku shindwa kula na kunywa na sihisi jaa Nilikuamini ah Umefanya nini na Bado moyo unama jera ntapona lini maa Ona wewe, una enjoy Umesha move on una amani Ona mimi, niko hoyi Yamеni chosa mapenzi siyatamani Aliniambiya atanipenda kwa shida na raha Mapenzi yotе nilo jenga leo jera Bado siamini nilo mpenda kani kataa Kweli maumivu yaku tendwa hayana shujaa [Bridge] Picture zake natamani ni chome Sura yake sitamani nione Maumivu kwake nifanye je nipone Penzi lake limefanyo nikome [Chorus] Kaniacha Shemeji yenu Kaniacha Mchumbo wangu Kaniacha Shemeji yenu Kaniacha Mchumbo wangu

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • Beat Killer