Naoa

Rayvanny & Ali Kiba - Pop, Swahili
Naoa
2 Plays
Duration: 3:21
Lyrics
[Intro] Yeah! (Aah-aah) Chui (ooh-ooh) (S2kizzy baby) Naoa ye', naoa ye', naoa ye', naoa ye', naoa ye', ah-ah-ah [Verse 1 : Rayvanny] Hanaga CV ya kuachika, aliwaacha wote alokuwa nao before Mikono yake sio ya kupika, ni kunishika, shika na kunihesabia dough Kuku tetea ametulia, show-show time ona anavyopanda jogoo Mahari kwao nitatoa na mia, wakitaka ng'ombe nitawaongeza kondoo [Bridge : Rayvanny] Una balaa, baby, una balaa Una balaa, baby, una balaa Una balaa, baby, una balaa Hata wakikataa, baby we ni kifaa, iyoo Utamu nipunguze ama niongeze, baby (aah, ongeza) Mahaba nikupe yote ama yanatosha, baby (aah, baby, ongeza) Utamu nipunguze, niongeze, baby (aah ongeza) Ndizi na nini, muhogo, baby (aah, baby, ongeza) [Chorus : Rayvanny] Naoa, eh-eh, naoa ye' Naoa, siwadanganyi, naoa Naoa, eh-eh, naoa ye' Naoa hiki chombo, naoa Naoa, eh-eh, naoa ye' Naoa, siwadanganyi, naoa Naoa, eh-eh, naoa ye' Naoa hiki chombo, naoa [Verse 2 : Alikiba] Mi' nimеmisi penzi internationally Sio kifisi, fisi mahaba ya Kisomali, oh Ooh, wajua mimi siwezi kukuacha wеwe Nataka uishi na mimi, usiniache, nisikuache, oh-oh, please Ah-ah-ah, nimetandika busati, keti kwenye roho, oh Mkali kuogesha marashi, eh, oh [Bridge : Alikiba] Kama unakuja, kama una go We' na malaika, Kurwa na Dotto Yanayonivuta, mahaba yako Mama nakuita uje Kariakoo [Chorus : Rayvanny & Alikiba] Naoa ye', naoa Naoa ye', naoa Ali, naoa, naoa Naoa ye', naoa Naoa ye', naoa (ah) Naoa (naoa yeye) ye', naoa Ali, naoa, naoa (oh) Naoa (naoa yeye) ye', naoa [Outro : Alikiba] Oh, naoa ye, eh-ih Oh-whoa, oh, oh-oh Yup! Ali leo naoa ye', eh-ih (Kamix Lizer)
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Producers
- S2Kizzy