Cheating

Album cover art for "Cheating" by Rayvanny

Rayvanny - Pop, Swahili

Cheating

2 Plays

Duration: 3:34

View Artist

Lyrics

Language:

[Verse 1] Ulilala nimeona kila kitu Nimekuta meseji na missed call alikubipu Salasala ulienda jana usiku Eti kapenda show we msafi, ulisafisha msitu Yani kila siku tuko wote Kumbe unanizunguka Pamoja na mahaba yote Kumbe waficha makucha Meseji nyingi sana nimeshazikuta Zingine sijazisoma ningekufa Nilipoona picha za mafuta Nikakusaidia kuzifuta Kuna Ben Daktari, hadi Doto Dalali Ila achana na Wile mume wa mtu Utamwagiwa tindi kali [Chorus] Natamani kukuacha uende Ila moyo unataka nikupende Najilaumu kila siku mi mzembe Ila moyo unataka uyajenge mapenzi [Bridge] Natamani mapenzi yadumu Ila mwenzangu wa weka sumu Sipendi kukulaumu Ila napitia wakati mgumu Kila week ndipo Kisumu Unadanganya ni majukumu Kumbe upo kwa room Unampa utamu anakuchumu [Hook] Why you cheating on me Cheating on me Stop cheating on me Cheating on me Why you chеating on me Cheating on me Stop chеating on me Cheating on me [Verse 2] Simu nzito nimeona meseji ya Davito Kumbe Mbezi Mwisho una mtu anaitwa Philipo Kipindi mimi sipo alikua anakuhonga mission Na hapo ulipo ameshakupa na ujauzito Yanasifiwa Mapenzi, mi nachukia mapenzi Kumuamini Mpenzi siwezi tena Chunga mafriend wa mpenzi, visafari weekend Ndo wakiona nyie mapenzi ndo basi tena Akipenda cent atakucheat kisa mechi Bado akipenda mechi bila cent utapigwa benchi [Chorus] Natamani kukuacha uende Ila moyo unataka nikupende Najilaumu kila siku mi mzembe Ila moyo unataka uyajenge mapenzi [Hook] Why you cheating on me (why you cheating on me) Cheating on me Stop cheating on me (iyee) Cheating on me (Why you cheating on me)

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Producers
  • Beat Killer