Nateswa

Album cover art for "Nateswa" by Rayvanny

Rayvanny - Pop

Nateswa

0 Plays

Duration: 3:39

View Artist

Lyrics

Language:

Hivi nachezea rhumba ama bolingo nangai Maana nina kiwembe kwenye vita ya masai Wanitesa mchumba nimependa sishangai Penzi kitovu uzembe mi nalia we furahi Ila musiende nyumbani za wageni walete nyumbani kwangu Chunga taratibu na chaga msije vunja kitanda changu Nimekunulia na feni msisweti mke wangu Kama majasho mkimwaga litumie taulo langu Naaa Baya lako zuri kwangu yote nimekusamehe Kosa la kwako lawama kwangu acha tu nijitetee Furaha yako furaha yangu sipendi unyong'onyee Ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee Utamu wa pipi ni mate yangu Wapika na mimi wanakula wenzangu Ona nakosa siti kwenye gari langu Kuleni embe acheni kokwa langu Nateswa nateswa Mwenzenu nateswa na mapenzi Jamani nateswa nateswa Mwenzenu nateswa na mapenzi Mapenzi anapanga maanani sitaki kuruka kuruka Sawa ni pande kichwani ukichota itashuka Niite mfanyakazi wa ndani huna haja kusumbuka Kwani anakuja muda gani niwatandikie shuka Siogopi kushare ila usisahau kinga Japo kwangu fedheha kuku wa chando nashinda Kweli wanionea nakubali we ndo bingwa Nipo radhi kulea kama wakikupa mimba Naaa Baya lako zuri kwangu yote nimekusamehe Kosa la kwako lawama kwangu acha tu nijitetee Furaha yako furaha yangu sipendi unyong'onyee Ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee Utamu wa pipi ni mate yangu Wapika na mimi wanakula wenzangu Ona nakosa siti kwenye gari langu Kuleni embe acheni kokwa langu Nateswa nateswa Mwenzenu nateswa na mapenzi Jamani nateswa nateswa Mwenzenu nateswa na mapenzi

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found