Mzuri

Album cover art for "Mzuri" by Rayvanny

Rayvanny - Pop

Mzuri

0 Plays

Duration: 4:26

View Artist

Lyrics

Language:

Uuh aih mama Jamani mbona we mzuri hvyo Rangi ya chungwa mama chocolate Viuno tanga manza bei Black beaut ulosimama Una nywele shombeshombe Zanzibar cheichei Umejaliwa nyama na huo mguu Haki mungu hakosei Mpka nikuone ndo nafanya Usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei Najionea wivuu kukupata wewe my boo Tabibuu dozi nipe tatatibuu Uuh aiih mama Jamani mbona we mzuri hvyo Uuh aiih mama Unavyoringa sasa sio shida zako hizo Uuh aiih mama Jamani mbona we mzuri hvyo Uuh aiih mama Nakusifia ringa vimba kichwa kapulizo Ukicheza (mzuri mzuri) Ukinuna (mzuri mzuri) Ukiringa (mzuri mzuri) Ata ukilia mzuri (ni mzuri tu) Unasura ya kunywea winne (Sura ya kunywea chai) Uko soft una shine (Camera haikukatai) Unawakomesha shwaini Levo zako hawakai Wataiweza wapi rangi yako ya mtume (Kwa roshen za mapapai) Mmh we mtoto we we mtoto we Wasije kuroga wenzako Wapunguzir dozi utawaua Sio kwa uzuri huo huo huo We mtoto we we mtoto we Unawatesa wenzako Sio kwa hayo mapozi na kujishauwa Unadamu ya nguo huo huo huo Mama unaogopa nini mbona unaficha sura Mama unaogopa nini mbona unageuka nyuma Mama mbona mikono usoni ebu toa tukuone Uuh aiih mama Jamani mbona we mzuri hvyo Uuh aiih mama Unavyoringa sasa sio shida zako hizo Uuh aiih mama Jamani mbona we mzuri hvyo Uuh aiih mama Nakusifia ringa vimba kichwa kapulizo Ukicheza (mzuri mzuri) Ukinuna (mzuri mzuri) Ukiringa (mzuri mzuri) Ata ukilia mzuri (ni mzuri tu) Ule kimini juu nato toto Unafanya nishindwe kuto totoka Umetakata upo so sosoft Unawateza si kito toto Uchuchu aaaah iya iya iya Mara upo nyonyo upo titi Ata saraphina anajua hushikiki Aiyy serious nimempenda Nasema na simuachii

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found