I Love you

Album cover art for "I Love you" by Rayvanny

Rayvanny - R&B

I Love you

0 Plays

View Artist

Lyrics

Ilikuwa safari ndefu yenye mateso Machozi mizigo vikwazo Ila yote umenitua Naomba penzi letu lisife kesho Ukanipa pressure mawazo Chonde mama utaniua Na vile hujui kununa fundi wa kudeka Hata sijakutekenya unacheka Ooooh tambua ushaniteka Hata bila chakula nanenepa, my love Salama nikiwa na wewe Hata kama nina shida nasahau Sura kama malaika Na wala hauringi kwa dharau Lawama acha nipewe Nitoke duniani angalau Kuliko ukakanyanyasika Ila mpenzi usisahau Mi ooh oh, I, mi amor, I My Love, I, te amor, I I love you I love you Baby I love you, I love you I love you (mi nakupenda sana) I love you (usiniache mama) Baby I love you (me oooh) I love you Sura ya mama, umbo lawama Unayabia maguu Unanichanganya ukiinama Naangalia tattoo Nipakulie chakula mama sikomi Asubuhi mchana mpaka jioni Michezo unaijua mama msomi Pini kitovu kifua na sikioni Salama nikiwa na wewe Hata kama nina shida nasahau Sura kama malaika Na wala hauringi kwa dharau Lawama acha nipewe Nitoke duniani angalau Kuliko ukanyanyasika Ila mpenzi asahau Mi ooh oh, I, mi amor, I My Love, I, te amor, I I love you I love you Baby I love you, I love you I love you (mi nakupenda sana) I love you (usiniache mama) I love you

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Rayvanny