Nipigie

Rayvanny & Fari By Dar Kid - Pop
Nipigie
0 Plays
Duration: 3:57
Lyrics
Kama itatokea siku, utanimiss mie Namba yangu ile ile naomba unipigie Kama umepata muda unitembelee Si kwa ubaya ila, hali tu unijulie Vita vya ukimya tuliopigana mimi na wewe Nimekiri nimeshindwa mimi bado ni yule yule Uliugusa moyo wangu nakuleta tofauti pale Kwenye kapu langu la hisia nafasi nyingine unipatie Ooh, hakuna wakulijaza pengo lakooo Moyo mtima unatamani pendo lako Nipendwapo napajua ndio maana napajali Maumivu yako nayatambua nimechoka kuwa mbali Na kumiss kumiss honey wewe Sio rahisi rahisi kuwa mwenyewe Nipigie nipigie Nipigie nipigie Nipigie hata kidogo nikusalimie Nipigie nipigie Nipigie nipigie Nipigie japo hali nikujuliе Kama ukipata muda Sauti yangu uisikie Msimamo wangu ule ule Kisa au sеma nirudie Kama ukipata wasaa usinizungumzie Si ulipata wengine mie niache usinifikirie Sura yako maridhawa umeizalilisha Kwa tabia yako Niache niache baki peke yako Moyo wangu umeugawa umenihuzunisha Basi fanya yako Niache niache mwana wa mwenzako Kwani nilikupenda kwa dhati Nikaapa sikuachi mtoto ulo smart Penzi lis'o na bahati limefika tamati Sa' nahesabu mabati Maadui kindakindaki umewapa nafasi Sa' wananidhihaki Upendo umekaangwa chapati Ushaunguza basi kuwa nawe sitaki Niaaacheee Nipigie nipigie Nipigie nipigie Nipigie hata kidogo nikusalimie Nipigie nipigie Nipigie nipigie Nipigie japo hali nikujulie
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...