My Babe

Album cover art for "My Babe" by Rayvanny

Rayvanny - Pop

My Babe

0 Plays

Duration: 4:13

View ArtistView Album

Lyrics

Aii jamani mbona umenikaa kichwani Umenipa kitu gani baby wangu Hadi natamani nikufiche chumbani Wasikuone visirani baby wangu Nililia kwa mwenyezi akayaona machozi Kanipa wewe kipenzi kipenzi Ntaimba na tenzi nikutulize laazizi Maana kwako am dead oooh am dead Amenishika kanikamata Mwambieni shemeji yenu apunguze raha Huba shata shata nanenepa Mwambieni shemeji yenu apunguze raha My sweet sweet babe huyeah You are my baby Sweet sweet babe onana You are my babe My sweet sweet babe huyeah You are my baby Sweet sweet babe onana You are my babe Oooh oooh Ulikuwa rafiki ukawa mpenzi Sasa ni rafiki tunaefanya mapenzi Kwako niko rеal sio kama na-pretend no! Yani toka tuna dhiki sasa tuna chenji Nina kupongеza umevumloa mengi Chuki hazijengi kugombana siwezi no Babe you teach me how to love You teach me how to care And forever I'll be there for you uuuh Mtoto unawakawaka Mtoto umetakata kata mrembo Nililia kwa mwenyezi akayaona machozi Kanipa wewe kipenzi kipenzi Ntaimba na tenzi nikutulize laazizi Maana kwako am dead oooh am dead Amenishika kanikamata Mwambieni shemeji yenu apunguze raha Huba shata shata nanenepa Mwambieni shemeji yenu apunguze raha My sweet sweet babe huyeah You are my baby Sweet sweet babe onana You are my babe My sweet sweet babe huyeah You are my baby Sweet sweet babe onana You are my babe Oooh oooh

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found