One Day Yes

Lyrics
Sidanganyi mnapendezana., naona umejipata Umejipata Anakuita honey mmefanana utasema mapacha Ooh mapacha nnnhh Najaribu kukusahau mwendeleee hataka Umenikosea, nikusameh. Kumbukumbu kichwani Ipotee labdha na mm nitapendwa one day Kweli wivu ninao na roho inauma Japo najikaza ila mapemzi yanauma. Moyo Umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa Naona mmependana bora nikae pembeni Nisubiri wa kwanguuuuuu One day yes, one One day yes. One day yes Nitapata wa kwangu One day yes. One day yes One day yes Na mimi nitapendwa Unavonisema vibaya ivi unadzani siskiii Mnavyopost kunikomoa ivi unadzani sioni Moyo umeritire kupenda kama hivi sirudiiii Nilipanda mbegu ya upendo nimevuna pressure na b. P Najipa moyo mchana na usiku kwa haya Maumivu yatageuka njoziiiiiiiiiiiiiiii Najipaaaa moyooooo itafika siku nitapa Wangu wee atanifuta machoziiiiii Najaribu kukusahau mwendeleee Hataka umenikosea nikusameh Kumbukumbu kichwani ipotee Labdha na nitapendwa one day Kweli wivu ninao na roho inauma Japo najikaza ila mapemzi yanauma Moyo umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa Naona mmependana bora nikae pembeni Nisubiri wa kwanguuuuuu One day yes, one One day yes. One day yes Nitapata wa kwangu One day yes. One day yes One day yes Na mimi nitapendwa
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...