Nakupenda

Lyrics
Oooh manyi kwagalanyo uuuh yeeh Iiih Mi kugombana na baby no Kununiana na baby no Mambo ya kupigana na baby no Eti niachane na baby no Sikujua aaah nitapenda hivi Akiniacha aaah mi nakua chizi Baby turn around i wanna see your back Bigi heavy heavy alafu tumbo flat Ukimwaga maji nipo table mat Play some music Ghetto kuna party Nakupeeenda we meant to be together Nakupenda nakupenda Me and you forever nakupenda wewe Oooh girl i want you to know that Uzuri wako hauna mfano Sexy body look at your back Ngozi mwanana chuchu sindano Ona Mungu kaumba mtoto spesho Sio mtumba ye ndo mama mwenye nyumba Wasompenda wamechunda Sikujua aaah nitapenda hivi Akiniacha aaah mi nakua chizi Baby turn around i wanna see your back Bigi heavy heavy alafu tumbo flat Ukimwaga maji nipo table mat Play some music Ghetto kuna party Nakupeeenda we meant to be together Nakupenda nakupenda Me and you forevеr nakupenda wewe
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...