Nalia Na Mengi

Album cover art for "Nalia Na Mengi" by Diamond Platnumz & Chid Benz

Diamond Platnumz & Chid Benz - Rap, Pop

Nalia Na Mengi

0 Plays

Duration: 4:21

View Album

Lyrics

Language:

[Verse 1: Diamond Platnumz] Mi niliambiwa mapenzi ni kama bahari Ukishazama ndo basi umepotea Kumbe mwenzangu alikuwa anatamani Badala ya kuzama mi kwangu akaelea Akawa ananidanganya Nikiwa nadhani ananipenda sana Mikwanja nikamwaga mama Japo sio kivile la kuongea maana Akawa ananidanganya Nikiwa nadhani ananipenda sana Mbona mifedha nikamwaga mama Japo sio kivile ila hakuongea maana Wakaja wajinga wakamchukua Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua Wajinga wakamchukua Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua, ayayaya... [Chorus: Diamond Platnumz & Chidi Benz] Usinione nalia (rrah) Usinione nalia (rrah) Mwenzenu nalia na mengi Usinione nalia (rrah) Naila... (rrah) Sababu ya mapenzi Usinione nalia (rrah) Nalia... (rrah) Nalia na mengi Ooh, jamani nalia (rrah) Nalia... (rrah) Sababu ya mapenzi [Verse 2: Diamond Platnumz] Najua alimaanisha kuwa simfai Ila lakini angesema Kuliko alichofanya mi akantoa nishai Akanimeza akanitema Nyie mapenzi yanauma vibaya Vibaya, vibaya Mmmh, mapenzi yanauma vibaya Vibaya, vibaya... Ile gafra safari Ndio inanifanya na usingizi sipati Huwa nakumbuka mbali Hasa nikisikia harufu yake ya marashi Mi kwa chungu nilivyoumia Nikaandika hili song la mwondoko nalia Na voko nikaingiza kwa hisia na imani Ipo siku nyimbo itamfika Mi kwa uchungu nilivyoumia mie Nikaandika song la mwondoko nalia Na voko nikaingiza kwa hisia na imani Ipo siku nyimbo itamfikia, ayayaya... [Chorus: Diamond Platnumz & Chidi Benz] Usinione nalia (rrah) Usinione nalia (rrah) Mwenzenu nalia na mengi Usinione nalia (rrah) Naila... (rrah) Sababu ya mapenzi Usinione nalia (rrah) Nalia... (rrah) Nalia na mеngi (ye, yeah) Ooh, jamani nalia (ye, yе) Nalia... (rrah) Sababu ya mapenzi [Verse 3: Chidi Benz] Usione nakosa raha mama na lala ma kwako mara kadhaa We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa Nwenu wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie Nija yetu mmoja niache nipite si ukasimulie Mama ya kinyamwezi na swaga zako juu Na miguu napata picha kitandani kungfu Uko juu ukipita lazima wasome namba We ndo mfano hata unajua neno pamba sifaa Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba Mikogo kila leo ntajigamba Nusonge kisela piga teke inauma Usiombe mapenzi yakupige teke inauma Usiombe mapenzi yakupige teke, eh Bounce [Chorus: Diamond Platnumz & Chidi Benz] Usinione nalia (rrah) Usinione nalia (rrah) Mwenzenu nalia na mengi Usinione nalia (rrah) Naila... (rrah) Sababu ya mapenzi Usinione nalia (rrah) Nalia... (rrah) Nalia na mengi Ooh, jamani nalia (rrah) Nalia... (rrah) Sababu ya mapenzi [Outro: Chidi Benz] Ah ah ah ah ah ah ah Ah Ah Oh oh oh oh oh oh oh Oh Oh Ah ah ah ah ah ah ah Ah Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah Ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz
  • Chid Benz