Kamwambie

Album cover art for "Kamwambie" by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Pop, Swahili

Kamwambie

0 Plays

Duration: 4:01

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Chorus] Nenda kamwambie (uh huh) Jinsi navyo mpenda mi (uh huh) Na kama mapenzi bado (uh huh) Mwambie nitayongeza mi Nasema kamwambie (uh huh) Jinsi navyo mpenda mi (uh huh) Na kama mapenzi bado (uh huh) Mwambie nitayongeza mi [Verse 1] Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi Kwa vile mali yake, yeah, yeah Natamani ila tatizo siwezi Huenda ingefanya nielewe (ah, ona) Si alinifunza mapenzi Nilikuwa sijui kamwambie Akanidekeza kishenzi Kwa nyimbo nzuri nimwimbie [Pre-Chorus] So asidanganywe na gari burudani na fedha Mimi akanichukia Akalishusha thamani penzi nalompenda Kisa mvinyo na bia Asidanganywe na gari burudani na fedha Mimi akanichukia Mmmh, mwambie asisike mapenzi Moyo wangu unaumia, eh ah [Chorus] Nenda kamwambie (uh huh) Jinsi navyo mpеnda mi (uh huh) Na kama mapenzi bado (uh huh) Mwambie nitayongeza mi Nasеma kamwambie (uh huh) Jinsi navyo mpenda mi (uh huh) Na kama mapenzi bado (uh huh) Mwambie nitayongeza mi [Verse 2] Ah Nasema siku hizi hakuna fungate Mapenzi hayana thamani Hivyo mwambie wanaopenda wachache Wengi wanatamani Ooh, wanaanzaga kwa tafadhali Wakishapewa wanapotea Mmmh, nenda mwambie ajihadhari Na dua njema nawombea [Pre-Chorus] So asidanganywe na gari burudani na fedha Mimi akanichukia Akalishusha thamani penzi nalompenda Kisa mvinyo na bia Asidanganywe na gari burudani na fedha Mimi akanichukia Mmmh, mwambie asisike mapenzi Moyo wangu unaumia, eh ah [Middle 8] Kamwambie Kamwambie Kamwambe Kamwambie Kamwambie Kamwambie Kamwambie Kamwambie [Chorus] Nenda kamwambie (uh huh) (Kamwambie) Jinsi navyo mpenda mi (uh huh) (Tena napenda sana) Na kama mapenzi bado (uh huh) (Mmmh, yeah) Mwambie nitayongeza mi (Nitayongeza mama) Nasema kamwambie (uh huh) (Kamwambie) Jinsi navyo mpenda mi (uh huh) (Napenda sana) Na kama mapenzi bado (uh huh) (Mmmh, yeah) Mwambie nitayongeza mi (Nitayongeza mama) [Outro] Yeah But thanks, Bob Junior Mr. Chocolate Flava Sharobaro Records Records Records, records It's Diamond Platnumz, baby Yeah Holla back, ladies It's time to hang lovely, lovley

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz