Mbagala

Album cover art for "Mbagala" by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Pop, Bongo Flava

Mbagala

0 Plays

Duration: 2:29

View Artist

Lyrics

Language:

[Intro] Mmmh mmh mmh mmh Mmmh mmh [Verse 1] Busara na upole Na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama Vyote haukuvijali Ukaona silingani kabisa kuwa na wewe Akuti na Mkole Ukakata kabisa na shina la penzi langu, nana Eti kisa mali Ukaona bora uniache mimi na uolewe [Pre-Chorus 1] Ile siku shekhe namuona anachoma ubani Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani N'liumia sana Sana... Ile siku shekhe namuona anachoma ubani (uh huh) Unavishwa pete unakua mke wa fulani (uh huh) Niliumia sana Mi niliumia sana, sana [Chorus] Tatizo kwetu Mbagala Hapa nyumba mbele jalala Tatizo kwetu Mbagala Ukaona mapenzi siwezi Tatizo kwetu Mbagala Hapa nyumba mbele jalala Tatizo kwetu Mbagala Ukaona mapenzi siwezi [Verse 2] Ah ah ah ah Ungejua jinsi gani Machozi n'lolia kwa uchungu wa penzi langu, na Mwenzio jinsi gani Vile nimeumia moyoni Hata kupendwa sitamani Utamu wa mapenzi mwenzako umеkula kwangu, ma' Mwenzio sitamaani Hata raha tena mi sioni [Pre-Chorus 2] Naskia hivi sasa una mtoto anaitwa Mamu Vile akinuna mpaka atabasamu Mmеfanana sana Sana... Mi' mwenzako tena mapenzi mi' sina hamu (uh huh) Tena na mpango wa kuhama Dar Es Salaam mu (uh huh) Nataka niende mbali Niepuke visa na walimwengu mi' mwenzenu siwezi [Chorus] Tatizo kwetu Mbagala Hapa nyumba mbele jalala Tatizo kwetu Mbagala Ukaona mapenzi siwezi Tatizo kwetu Mbagala Hapa nyumba mbele jalala Tatizo kwetu Mbagala Ukaona mapenzi siwezi [Middle 8] Nasema Mbagala Mbagala Mbagala Ah ah ah ah Mbagala... Ukaona mapenzi siwezi Nasema Mbagala (Mbagala) Mbagala (Mbagala) Mbagala (Mbagala) Eh eh eh eh Mbagala... Ukaona mapenzi siwezi [Chorus] Tatizo kwetu Mbagala (ooh, Mbagala) Hapa nyumba mbele jalala (mbele jalala) Tatizo kwetu Mbagala (mama...) Ukaona mapenzi siwezi Tatizo kwetu Mbagala (hii...) Hapa nyumba mbele jalala (ooh..) Tatizo kwetu Mbagala (mama) Ukaona mapenzi siwezi (mama) [Interlude] Mbele jalala Kwetu Mbagala Eh eh eh Yeah, eh eh Hii... Na na na Na na na Eh, eh eh [Outro] Ayo, ha ha Yo, I'm back, ladies, I'm back It's Sharobaro President Bob Junior Mr. Chocolate Flava Yo, I'm back, Diamond, I'm back Ha ha Nimemaliza

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz