Hakuna kulala

Album cover art for "Hakuna kulala" by Zuchu

Zuchu - Pop

Hakuna kulala

0 Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Intro] Lala Lala Lala Lala Lala Lala Lala Lala Lala Lala Mmhhh! Mmhhh! [Verse 1] Namvuta Faraghani Tumo Tumo Ndani Namtazama Simuishi Namkanda Mambavuni Kayainua Majeshi Vita Nichague Mimi Aanze Bangladesh Amalizie Sudan Twanozana Hatosheki Kaniweka Kifuani Hatingishiki Haruki Yuu Hoi Wa Taabani Nampa Na Vya Kurithi Na Mizungu Ya Kigeni [Chorus] Hakuna Kulala (Eeeh Eh!) Hakuna Kulala (Lala Lala Lala) Hakuna Kulala Asubuhi Itukute Hakuna Kulala (Mi Na Weewe!) Hakuna Kulala Hakuna Kulala Na Machweo Yatukute [Verse 2] Mmmhh! Siwezi Kuficha Hisia Maradhi Yataniumbua Mizimu Inayonijua Kanila Kanimalizia Mbora Katimiliki Kwa pasi Za Resiresi Hapitagi Njia Fupi Shortcut Ye za Nini? Nampa Na Vya Kurithi Na Mizungu Ya Kigeni [Chorus] Hakuna Kulala Hakuna Kulala Hakuna Kulala Asubuhi Itukute Hakuna Kulala Hakuna Kulala Hakuna Kulala Na Machweo Yatukute [Outro] Laaaadha Yaaaako Laaadha Yako Ladha Yako Ni Taam Nitam Nitam Nitam Sana

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Zuchu