Nyota

Lyrics
[Verse 1] Wangonja nini Kuja nishike tu sau shida zetu Mpaka jioni Mi ndapotea mikononi mwako fatou Duniani mambo Siwezi maisha kama wewe haukuje Duniani mambo Siwezi pumua kama wewe haunishike Wasema nini Njoo karibu tuicheze ngoma yetu Tuviche mbali Mapenzi yetu wanadamu si wazurri Dunia ni mambo Siwezi maisha kama wewe haukuje Dunia ni mambo Siwezi pumua kama wewe haunishike [Chorus] Ntakuweka rohoni Mpaka sisi turuke Wewe ni nyota wa moyo Ntakuweka rohoni Mpaka sisi turuke Wewe ni nyota wa moyo Ntakuweka rohoni Mpaka sisi turuke Wewe ni nyota wa moyo Ntakuweka rohoni Mpaka sisi turuke Wewe ni nyota wa moyo [Verse 2] Wachе waseme Situtafute mpaka ilе nja yetu Sifa ni bure Leo na kesho mimi nda kushika mkono Dunia ni mambo Siwezi maisha kama wewe haukuje Dunia ni mambo Siwezi pumua kama wewe haunishike [Chorus] Ntakuweka rohoni Mpaka sisi turuke Wewe ni nyota wa moyo Ntakuweka rohoni Mpaka sisi turuke Wewe ni nyota wa moyo Ntakuweka rohoni Mpaka sisi turuke Wewe ni nyota wa moyo Ntakuweka rohoni Mpaka sisi turuke Wewe ni nyota wa moyo
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- DJ Maphorisa
- Kabza De Small
- TRESOR