Wera

Album cover art for "Wera" by Sauti Sol

Sauti Sol - Pop

Wera

0 Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

Nakuomba Nerea Usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto Analeta hasani yake Leta nitamlea Usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto Analeta hasani yake.Huenda akawa Obama atawale Amerika Huenda akawa Lupita Oscar nazo akashinda Huenda akawa Wanyama acheze soka uingereza Huenda akawa Kenyatta mwanzilishi wa taifa Aaah Nakuomba Nerea Usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto Analeta hasani yake Leta nitamlea Usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto Analeta hasani yake Nitamlea oh ohHuenda akawa Maathai ailinde mazingira Huenda akawa Makeba nyimbo nzuri akatunga Huenda akawa Nyerеre aongoze Tanzania Huenda akawa Mandеla mkombozi wa Afrika Aaah Nakuomba Nerea Usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto Analeta hasani yake Leta nitamlea Usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto Analeta hasani yake.Nakuomba Nerea Nerea Nerea Nerea Nerea Nerea Usitoe mimba yangu Nerea Nerea Nerea Usitoe mimba yanguHuenda akawa Kagame atawale Jaramogi Odinga tuungane Huenda akawa Tom Mboya Huenda akawa Rudisha Huenda akawa malaika Mungu ametupatia Huenda akawa Sauti Sol Huenda akawa Amos and Josh Huenda akawa Yeah yeah yeah Huenda akawa Malaika Mungu ametupatia...

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found