Subira

Lyrics
Language:
Nilipenda musichana Jina lakee subira Pendo letu liling'aaa Mwaka wa kwaaanza wa ndoa Kanizaliia kijana Penzi likawa sawaaa Wazazi wangu na wakee Walipendaaana sana Heshima kifamiliaaa We kidosho wa afrika musichana tabia kwako niliridhikaa Oooooohoooohooo Bye bye bye bye byeebyee Paparampapam paparampapam Bye bye oooouuuu bye bye Paparampapam paparampapam Bye bye oooouuuu bye bye Byeee bbbyyyyyeeee Mmmmh kama ndoa ilivyo Uzuri na ubaya aa Ubaya katokeaaa Msichana wa geti kali atakulaje sukuma Jirani wamuchekaaaa Akaanza kusonyasonya na kukunja sura msichana kaniwachaa
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)
Loading comments...
Credits
Credits Not Found