Set Me Free (Interlude)

Album cover art for "Set Me Free (Interlude)" by Sauti Sol

Sauti Sol - Pop, Swahili

Set Me Free (Interlude)

2 Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Dialogue: Bien-Aimé, Savara and (others)] Lamba mchanga ya France mara ya kwanza! (Lakini uko na addiction, nyamaza!) (Tumekuwa tu…tumekuwa tu…) ([?]) (Hahahaha) Wewe! (Wewe! Eh!) [?] The thug life chose you! (The thug life chose me, hahaha) The thug life chose you! (Tunaweza weka hio story archive…) Huu, huu nigga, cheki… [Intro: Chimano] Ehhh Ehhh Ehhh [Verse 1: Sauti Sol] Hivi bado nakumbuka, nikiwa kijana Ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana Na wasichana walinipenda, wengine walinikataa Na hapa nilipoamka, sikulala jana Napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana Na ma-CD zilipasuka, wengi walizaana kwa sana Na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani Wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasanii tuliponea (Eh!) [Chorus: Sauti Sol] Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Won't you set me free, nizidi kijana? [Verse 2: Sauti Sol] Kaja Facebook, kaja Twitter, kaja pia na Instagram (Ooh) Wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana Na walitesa, tesa Wazungu wanasemanga ati business and pleasure Inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure Wasanii tuliponea [Chorus: Sauti Sol] Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Won't you set me free, nizidi kijana? [Outro] Wait! Wait! Wait! (Oh my god) I can't feel my legs, guys (So…)

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Savara
  • Polycarp Otieno
  • Willis Chimano
  • Bien (KEN)