Nenda Lote

Album cover art for "Nenda Lote" by Sauti Sol

Sauti Sol - Pop, Swahili

Nenda Lote

5.9K Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Intro: Savara] Ohh, na, na, na, na, na [Verse 1: Savara] Umetuma wazazi wako waje wanielezee Umetuma wazazi wako waje wanielezee Hunitaki tena, na mashoga zako waje waniambie Na mashoga zako waje waniambie Ndoa tumeivunja [Pre-Chorus 1: Savara] Siamini kuna time singeishi bila wewe Mapenzi ya kukata na shoka, eh, eh Yashamwagika, hayazoleki haya, oh Basi nenda lote, mama Nenda lote, mama [Chorus: Sauti Sol] Mpenzi, unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika, hayazoleki haya, oh Nenda lote, mama [Verse 2: Chimano] Ukatuma lawyer wako aje anisomee Ukatuma lawyer wako aje anisomee Kuwa watoto ulionizalia, eh, eh Kuwa watoto ulionizalia, eh, eh Sitawaona tena Uhh [Pre-Chorus 2: Chimano] Siamini kuna time tuliapa hadharani Kanisani kwa chanda na pete, eh Yashamwagika, hayazoleki haya, oh Nenda lote, mama Nenda lote, mama [Chorus: Sauti Sol] Mpenzi, unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika, hayazoleki haya, oh Nenda lote, mama [Verse 3: Bien-Aimé] Ukatuma pastor wako aje anikemee Ukatuma pastor wako aje anikemee, mama Na madeni zangu ukazitangaza, eh (Ukazitangaza, eh) Na madeni zangu ukazitangaza, eh Mitandaoni, oh (Mitandaoni, oh, eh) [Pre-Chorus 3: Bien-Aimé] Shemeji zangu, ndugu zako, tukionana Waambie sisi bado rafiki, eh, eh Wasinipite barabarani, mama, oh Umeenda lote, mama Umeenda lote, mama [Chorus: Sauti Sol and Bien-Aimé] Mpenzi, unaenda (Mpenzi, oh, baby) Nilikuenzi kinomanoma (Oh, jana, no, no) Yashamwagika, hayazoleki haya, oh Basi nenda lote, mama Nenda lote, mama Mpenzi, unaenda (Mpenzi, eh) Nilikuenzi kinomanoma (Eh, yeh, yeh, yeh, yeh, yeh, yeh) Yashamwagika, hayazoleki haya, oh (Hayazoleki haya, oh) Nenda lote, mama (Mama, mama) Nenda lote, mama

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Willis Chimano
  • Savara
  • Polycarp Otieno
  • Bien (KEN)