Mapacha

Album cover art for "Mapacha" by Sauti Sol

Sauti Sol - Pop

Mapacha

0 Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

Mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi Usinilenge mi malanga aa Sina mengi mimi nina shairi mashairioooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrika Wajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrikawe uje nizalie musichana Nami nikupe wewe kijana Penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii Sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu! wo wo woouuux2 Ooooh ni wewe tuu, ni wewe napeeendaa niwewe wewe Ni wewe nataka Africa nzima yakutamani ni weweee ni wewe wewe wewe wewe wewe eeee

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found