Asante sana baba

Album cover art for "Asante sana baba" by Sauti Sol

Sauti Sol - Pop

Asante sana baba

1 Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

Asante sana baba yangu Umenipa mafunzo ya ajabu Kunifunza kweli ni taabu Nafanya kazi usiaibike X2Sintokusahau maishani baba yangu Umenielimisha, rekebisha kanipa mawaidha Baisikeli kanipandisha Nguo za kifahari kanivalisha Nayo majuto ni mjukuu Tega sikio usiseme I wish I knewAsante sana baba yangu Umenipa mafunzo ya ajabu Kunifunza kweli ni taabu Nafanya kazi usiaibike X2Huuuuuuuu baba heiiii Desturi na mila [umenifundisha] Kulinda familia [aaaaahhhhhh] Kuheshimu bibilia [bibilia kabisa] Kumtunza malkia [maaaaaama] Mtu mwenye heshima [na kila hekima] Mfano mwema [aaaaaaahhhh] Kwa kupanda na kulima [umenishughulikia] Mfano mwema, [babaaaaaaaa]Asante sana baba yangu Umenipa mafunzo ya ajabu Kunifunza kweli ni taabu Nafanya kazi usiaibike Baba baba baba baba [yangu] Asante sana baba yangu [ni wewe] Umenipa mafunzo ya ajabu [eeeeeehhh] Kunifunza kweli ni taabu [ni wewe baba] Nafanya kazi usiaibike Aaaaaaaaaaaaaaaaa X3Uuuuuuuuuuuuuuu X2Asante sana baba yangu Umenipa mafunzo ya ajabu Kunifunza kweli ni taabu Nafanya kazi usiaibike X2 Aaaa asante Daddy ooooh Dadddy ooododoooe Wewe ni baba [Daddy ooooh] Wewe ni baba [Ooooooh] Wewe ni baba yangu Wewe ni baba Wewe ni baba yangu Wewe ni baba Wewe ni baba [Weweeeee weweeeee] Wewe ni baba yangu Wewe uweiyeiye Wewe ni baba Wewe weweeee Wewe ni daddy daddy daddy daddy daddy daddy Wewe ni baba

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found