My Angel (Malaika)

Album cover art for "My Angel (Malaika)" by Harry Belafonte & Miriam Makeba

Harry Belafonte & Miriam Makeba - Pop, South Africa

My Angel (Malaika)

5.4K Plays

Duration: 3:55

View Album

Lyrics

Language:

Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Ningekuoa mali we, ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika Pesa zasumbua roho yangu Pesa zasumbua roho yangu Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Kidege, hukuwaza kidege Kidege, hukuwaza kidege Ningekuoa mali we, ningekuoa dada Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Ningekuoa mali we, ngekuoa dada Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Traditional