Nitolee

KrizBeatz & Ethic Entertainment - Pop
Nitolee
1 Plays
Duration: 3:26
Lyrics
Ka ni Vera, Huddah mboka(nitolee) Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee) Na nani akidai banana(nitolee) Akitaka hata hadharani(nitolee) Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee) Na Nana akidai banana(nitolee) Akitaka hata hadharani(nitolee) Nitoleee.... Jicho nyanya kama papa Mimi nawasha shada Kina Liza ni ma kwela waatingiza Cheki vile huko nyuma kunabingirika Zimeshika zimerunda cheki kina Linda Ni mashasha kata waba, tingiza madiaba Juu chini mi napenda tu wabawaba Kuanzia usiku mpaka mchana(nitolee) Kuna njeve nje bana(nitolee) Shapu ni ya Vera, sura Akothee Ka ni Vera, Huddah mboka(nitolee) Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee) Na nani akidai banana(nitolee) Akitaka hata hadharani(nitolee) Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee) Na Nana akidai banana(nitolee) Akitaka hata hadharani(nitolee) Cheki dada kujibamba kwanza Na madem ni madiva shake hiyo haga kwanza Cheki space ni biggy shake hiyo haga love Sinyorita kata kiuno kuwamaliza Aah mdunge liquor Hakuna mchezo wa kuwakilisha dem Mpige lugha Akikubali ni kum-maliza ma(nitolee) Ka ni Vera, Huddah mboka(nitolee) Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee) Na nani akidai banana(nitolee) Akitaka hata hadharani(nitolee) Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee) Na Nana akidai banana(nitolee) Akitaka hata hadharani(nitolee) We mshy vako za mavajo ka Maria Iza basi understand mi nina tabia Mbaya sana sana sana kama unafagia Rada ni kula na macho tu ukinikazia Kwanza teremsha zote zenye umevalia Tukichafua Wasafi pale Tanzania Nikirarua asali tu lazima utalia Venye naiona iko wazi lazima tu nitaingia Ka ni Vera, Huddah mboka(nitolee) Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee) Na nani akidai banana(nitolee) Akitaka hata hadharani(nitolee) Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee) Na Nana akidai banana(nitolee) Akitaka hata hadharani(nitolee)
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...