Matatizo

Album cover art for "Matatizo" by Just A Band

Just A Band - Pop

Matatizo

2 Plays

Duration: 3:55

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

Aye aye aye Ndugu yangu we Usiwe na shaka Mimi niko oo Kitakacho tokea nitakusaidia Matatizo oo-o Ni ya kila mtu Haya kuarifu yanapokujia Yanapotokea nitakusaidia Yaliponipata wengi walicheka sana Kwangu mimi naona ni kawaida Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya Aye aye aye Ndugu yangu we Usiwe na shaka Mimi niko o-o Kitakacho tokea nitakusaidia Kwangu mimi naona ni kawaida Matatizo o-o Ni ya kila mtu Haya kuarifu yanapokujia Yanapotokea nitakusaidia Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea Kwangu mimi naona ni kawaida Kwangu mimi naona ni kawaida Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea Yaliponipata wengi walicheka sana Kwangu mimi naona ni kawaida Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found