Ha He

Lyrics
[Intro] Microphone check one, one two [Verse 1] Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare Mi si mnati, si babi, niko tu katikati Staki kuskiza story za charity, charity Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity Sema oh [Hook] Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya [Verse 2] Serikali haijali So naona mbwa kali afadhali Dame amejam juu dough haikam Na siwezi kum-show ati life ni exam juu Ntatupiwa sufuria Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi So nikikupita tao, tao Jua sio madharau-rau [Hook] Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya [Verse 3] Nipe, nipe nafasi Nikueleze kiasi Vile sisi hufanya Pande hii ya the tracks Hatuchezi na kazi Usipoteze wakati Tumekunja mashati [Hook] x5 Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Blinky Bill
- Just A Band