Nawaza

Album cover art for "Nawaza" by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Pop, Swahili

Nawaza

0 Plays

Duration: 3:43

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Chorus] Nawa Nawa Nawa Nawaza tu Nawa Nawa Nawa Nawaza tu [Verse 1] Nawaza pru mpaka maka Ruge amerudi tena Je kwa huu mziki wa sasa sijui nini angesema!? Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema Yani mtoto unaemtunza ndo anakuombea ukilema, nashangaa Nawaza Vanny na Elizabeth, clip zao zikivuja Ndoa itaimarika eti, au ndo ataifoja?! Nawaza muchana, usiku jibu halifiki Wanaonitukana, tuna bifu au ilimradi kiki?! Nawaza kina Kimambi bwana wangekua wagawa ridhiki Hivi kweli ningejulikana si wangenizima nsisike Nlowaza leo nshawaza sana kina Kiba ugomvi kipi?! Nikagundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki [Chorus] Nawa Nawa Nawa Nawaza tu Nawa Nawa Nawa Nawaza tu Oh nawaza [Verse 2] Huenda Steven Kanumba angelikuwepo hai Nawaza movie zetu pia tungejidai Nawaazaa hivi kombe la dunia hatufikagi why?! Nawaza, tatizo ni team au uongozi haufai Mawazo mengine mtanange bora tuache yataleta ukakasi Je angekuepo Muzee Nyange,Uncle Shamte angepata nafasi?! Nawaza ka ngеkua na Wema Sepetu hadi lеo sijui ngekua nshafulia au zaidi maendeleo Oh nawaza siku nikifa sijui wasafi itakufa Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta Nawaza oh Mama Dangote nani chozi atamfuta Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka, eeh Nlowaza leo nshawaza sana nnachoshindwa kuwa kipi Nikagundua naepusha lawama maana najijua kwa kucheat [Chorus] Nawa Nawa Nawa Nawaza tu Nawa Nawa Nawa Nawaza tu

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz