Mtasubiri

Album cover art for "Mtasubiri" by Diamond Platnumz & Zuchu

Diamond Platnumz & Zuchu - Pop, Bongo Flava

Mtasubiri

0 Plays

Duration: 3:26

View Album

Lyrics

Language:

[Verse 1: Zuchu & Diamond Platnumz] Eti amina, dua zimeitikiwa Ashtuti nije kupa mali yako Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa Mahututi nasubiri tiba yako Na nisipo kuona, na raha nakosa Situlii mpaka unikumbate darling Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear Shughuri kwisha yangu habari [Pre-Chorus: Zuchu & Diamond Platnumz] Eti unanipenda mi (Mmnh) Unanitaka pia (Mmnh) Unaniamini (Mmnh) Na umeniridhia Oh unanipenda mimi (Mmnh) Unanitaka pia (Mmnh) Unaniamini (Mmnh) Na umeniridhia [Chorus: Diamond Platnumz, Zuchu & Both] Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja) Mtasubiri sana, mtasubiri Wanasubiri tuachane Mtasubiri sana mtasubiri (Oh, vuten kiti mkae) Mtasubiri sana, mtasubiri [Verse 2: Diamond Platnumz & Zuchu] Oh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa Oh baby vya chakuchaku vitanifuja Oh baby mie wa pwani mzawa wa unguja Oh baby penzi laini sitoi buja Na moyo nishaweka kwako nanga Wanajisumbua kukesha kwa waganga Na presha zitaqwashuka na kupanda Tena deka we shaukwa baby tamba [Pre-Chorus: Diamond Platnumz, Zuchu & Both] Eti unanipenda mi (Mmnh) Unanitaka pia (Mmnh) Unaniamini (Mmnh) Na umeniridhia Unanipenda mimi (Mmnh) Unanitaka pia (Mmnh) Unaniamini (Mmnh) Na umeniridhia [Chorus: Diamond Platnumz, Zuchu & Both] Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja) Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh) Wanasubiri tuachane Mtasubiri sana mtasubiri Mtasubiri sana, mtasubiri [Outro: Diamond Platnumz, Zuchu & Both] Wanasema eti umeniroga Ni kweli ila inawahusu nini Hunipendi ila unanichuna Ni kweli ila inawahusu nini Eti wanasema wewe ni kicheche Ni kweli ila inawahusu nini Utanichezea kеsho uniache Ni kweli ila inawahusu nini

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz
  • Zuchu