Moyo Wangu

Lyrics
[Intro: Lamar Niekamp] Talk of the town Lamar It's a Fishcrab presentation Diamond It's a Fishcrab cookout, ladies and gentleman Wasafi [Chorus: Diamond Platnumz] Moyo wangu Moyo wangu mama, eh Moyo wangu mimi Umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama, eh Moyo wangu mimi Umeniponza mama [Verse 1: Diamond Platnumz] Ah ah ah Upole wangu simanzi Eh Kwangu kupenda maradhi Iih Lakini kupendwaga mi naye Bahati nuwaga sina Jichoni kwangu kibanzi Eh Ninakapenda kamanzi Iih Licha ya kumthamini kama shilingi Tatizo hata raha sina [Pre-Chorus 1: Diamond Platnumz] Ufinyu wa mboni zangu (mboni zangu) Unatazama mengi yanayonipa mateso Ukweli hata kupenda sina raha Ona nakonda kwa mawazo Masikini penzi langu Gina Lishakata na kauli roho inatoka kesho Kutwa nzima mara, eh Mara, iih Hata najuta kupenda... [Chorus: Diamond Platnumz] Moyo wangu (moyo mama) Moyo wangu mama, eh (moyo mama) Moyo wangu mimi (ah ah ah) Umeniponza mama (oh oh oh) Moyo wangu (moyo mama) Moyo wangu mama, eh (moyo mama) Moyo wangu mimi Umeniponza mama [Interlude: Diamond Platnumz] Mmmh, tena Ni kutwa kucha maneno Kosa sikosa maneno Ili mradi ru karaha tantaila Mmmh, sina raha [Verse 2: Diamond Platnumz] Wala sina tena mipango (ho) Kutwa nzima na mawazo Gina Ah ah Ooh, sina raha Oh mama Tamu ya wali ni nazi Eh Raha ya supu mandazi Iih Raha yangu mi kupendwa tu naye Lakini nyota sina Laana napata na radhi Eh Nawakufukuru wazazi Iih Kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye Lakini bahati sina [Pre-Chorus 2: Diamond Platnumz] Masikini roho yangu (roho yangu) Ingelikuwa ni nguo ningempa avae Kila kona akipita wamsifie Ila lakini ni kikwazo Masikini penzi langu Gina Lishakata na kauli roho inatoka kesho Kutwa nzima mara, eh Mara, iih Hata najuta kupenda... [Chorus: Diamond Platnumz] Moyo wangu (eh eh eh eh) Moyo wangu mama, eh (eh eh eh eh eh) Moyo wangu mimi (ah ah, oh oh) Umeniponza mama (oh oh oh) Moyo wangu (moyo mama) Moyo wangu mama, eh (moyo wangu) Moyo wangu mimi (eiih...) Umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama, eh Moyo wangu mimi Umeniponza mama Moyo wangu (moyo mama) Moyo wangu mama, eh (moyo mama) Moyo wangu mimi Umeniponza mama
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Diamond Platnumz