Mawazo

Lyrics
[Intro] A-A-A, AM Records [Chorus] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo Mana! Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo Mara! Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo [Verse 1] Ah! Sikujua mapenzi bala Tena ni maradhi ya moyo kupendaga Tena mapenzi karaha Yanajenga chuki na choyo kwenye cover Utu wangu na thamani Ina mana kweli hakuvijua Licha ya burudani Ya mapenzi yangu akatimua Utu wangu na thamani Ina mana kweli hakuvijua Uhuni jaa burudani mtani Kaamua kutimua inaniuma sana [Chorus] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo (mmh mawazo) Mana! Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo) Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo) Mara! Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo) [Refrain] Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo [Verse 2] Yule jini kisirani kainiga Kwenye utamu wa penzi langu Ameleta tafarani naumia Naila na moyo wangu Ona jini kisirani kaingia Kwenye utamu wa penzi langu Ameleta tafarani Mwenzenu naila na moyo wangu Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ni naumia Kweli wapendanao ndio madui zikitimia Lile tinga langu la maraha Leo limekuwa sumu kwangu Oh na tena sina raha Ninacheka nalia na moyo wangu [Chorus] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo Mana! Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo Mara! Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo [Refrain] Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo [Reprise] Utu wangu na thamani Ina mana kweli hakuvijua Licha ya burudani Ya mapenzi yangu akatimua Utu wangu na thamani Ina mana kweli hakuvijua Licha ya burudani Ya mapenzi yangu akatimua
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Diamond Platnumz