Kwanini?

Album cover art for "Kwanini?" by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Pop, Bongo Flava

Kwanini?

0 Plays

View Artist

Lyrics

Language:

[Verse 1: Diamond Platnumz] Ah! Usinione nalia Moyoni naumia Kila siku maugomvi, unanukia mabia Ina maana unataka usema Huu moyo wangu hatambui Thamani ya mapenzi Ndo imegeuka kuwa uadui [Bridge: Diamond Platnumz] Nikakuimbia nyimbo bado Nkakupa moyo bado Nikakupa life, na true love Ila baby bado Nikakuimbia nyimbo bado Nkakupa moyo bado Nikakupa life, na true love Ila baby bado [Chorus] Ukose raha Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe [Verse 2: Diamond Platnumz] Nishachoshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Mara leo limekwisha hili Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine Choshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Leo limekwisha hili, kesho lingine eh! You just don't know Naumia umia umia umia umia Eeeh ah! You don't know Naumia umia umia umia umia Hiiiii... [Chorus] Ukose raha Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz