Kizaizai

Album cover art for "Kizaizai" by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Pop, Swahili

Kizaizai

0 Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Verse 1] Yanaanza kama safari Twende fulani ukaone Kumu yana nguvu ni hatari Ukishanasa ndio uponi, eh Yanaanza kama safari Twende fulani ukaone Kumu yana nguvu ni hatari Ukishanasa ndio uponi, eh [Pre-Chorus] Mungu aliumba dunia na maajabu yake Ya mwenzako sikia omba yasikupate Eiih Mungu aliumba dunia na maajabu yake... Ya mwenzako sikia Ila yasikupate... [Chorus] (Kizaizai) Nyie mapenzi yanauma (eh eh) (Kizaizai) Yanaumiza (Kizaizai) Oh, kizunguzungu (KIzaizai) Jama mapenzi mabaya (Kizaizai) Weza gombana na Ndugu (Kizaizai) Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai) Kazi ukaona chungu (Kizaizai) Nyie mapenzi karaha (Kizaizai) [Interlude] Eh Grazie Grazie [Verse 2] Mmmh Yanayima furaha Mmmh mmh Yanakosesha raha Eh, eh eh Yanayima furaha Mmmh mmh Yanakosesha raha Mmmh mmh Tena usiombe kupenda Ulie mpenda ajue Tena usiombe kupenda Ulie mpenda ajue Amani utakosha Karaha jamani... Dunia tena chungu kufa utatamani... [Pre-Chorus] Eiih Mungu aliumba dunia na maajabu yake Ya mwenzako sikia omba yasikupate Eiih Mungu aliumba dunia na maajabu yake... Ya mwenzako sikia Ila yasikupate... [Chorus] (Kizaizai) Nyie mapenzi yanauma (eh eh) (Kizaizai) Yanaumiza (Kizaizai) Oh, kizunguzungu (KIzaizai) Jama mapenzi mabaya (Kizaizai) Weza gombana na Ndugu (Kizaizai) Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai) Kazi ukaona chungu (Kizaizai) Nyie mapenzi karaha (Kizaizai) [Bridge] Baba na mama watake (Kizaizai) Chakula tamu ni sumu (KIzaizai) Mashoga sasa wanafiki (Kizaizai) Kulala nanyi ni ngumu (KIzaizai) Eiih, yanauma (Kizaizai) Tena yanauma sana (Kizaizai) Yanauma (Kizaizai) Oh, yanauma sana (Kizaizai) [Outro] Oh oh oh (Kizaizai) Eh eh (Kizaizai) Eh eh eh eh (Kizaizai) Ayo (Kizaizai) And this is kid from Tanzania (Kizaizai) Diamond Platnumz, baby (Kizaizai) In See Records (Kizaizai) Naples (Kizaizai) Italiano, baby (Kizaizai) Holla (Kizaizai) Twende (Kizaizai) Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka Suka (Kizaizai) Suka, aja (Kizaizai) Mila, kata, aga, twende (Kizaizai) Ha, ha, ha (Kizaizai) Ha, ha, we (Kizaizai) Thank you, See Records Thank you

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz