Unfollow

Lyrics
I saw you like her picture What about me unamfata mpaka twitter Now we know what it's gon be I saw you like her picture yeah What about me yeah yeah Kama hakuna cha kuficha Why don't you get out off her insta Unanikera kera kera kera kera yeah Unavyopenya penya kwa peji zake Unanikera kera kera kera yeh e e eh Unavyopenya penya kwa peji zake Heeey yeaah Macho yanatamani unfollow Moyo unatamani unfollow Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani Macho yanatamani unfollow Moyo unatamani unfollow Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani First of all I'm the baddest kwenye peji yake Don't know what the hell, you're looking for?? Au labda shepu yake lipsy macho yake pengine umedata na dimples Hata level zangu huwezi kucompea na level za kwake ni simpo Baby please won't you hear me. if you know that you need me Unanikera kera kera kera kera yeah Unavyopenya penya kwa peji zake Unanikera kera kera kera yeah e e eh Unavyopenya penya kwa peji zake Heeey Yeaah Macho yanatamani unfollow Moyo unatamani unfollow Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani Macho yanatamani unfollow Moyo unatamani unfollow Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani Kama mi nakufaa naomba usimfuate Taratibu atakukaa imani ikutoke Kama mi nakufaa naomba usimfuate Taratibu atakuakaa imani itoke Macho yanatamani unfollow Moyo unatamani unfollow Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani Macho yanatamani unfollow Moyo unatamani unfollow Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani Unfollow Unfollow Unfollow Unfollow
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Vanessa Mdee