Sura Yako

Lyrics
[Translation] [Verse 1] Nimekuchagua wewe, nikupende Mama, sitaki mwingine Aushi usiniache, usinitende Mama, usipende mwingine [Pre-Chorus] Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi [Chorus] Sura yako mzuri mama, ah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, ah Mzuri mama Sura yako mzuri mama, ah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, ah Mzuri mama [Verse 2] Itabidi nikulinde, nikutunze Mama, usikose lolote Pete nayo nikuvishe, nikuoe Mama, usiende popote [Pre-Chorus] Juu moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, eh Itabidi nikumarry Moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, eh Itabidi nikumarry [Chorus] Sura yako mzuri mama, ah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, ah Mzuri mama Sura yako mzuri mama, ah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, ah Mzuri mama Na figure yako kama ya chupa, ah Mzuri Mama Na sura yako mzuri mama, ah Mzuri mama [Bridge] Piga dansi kidogo Piga da, piga dansi kidogo Dansi kidogo Piga da piga dansi kidogo Dansi kidogo Piga da piga dansi kidogo Dansi kidogo Sura yako mzuri mama, ah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, ah Mzuri mama Sura yako mzuri mama, ah You're so so beautiful You're so so yeah [Outro] (Mama, yeah) Piga dansi kidogo (Mzuri mama) Baby dansi kidogo (Mzuri mama) Mama dansi kidogo (Mzuri mama) Nafiga yako kama ya chupa Piga dansi kidogo (Mzuri mama) Baby dansi kidogo (Mzuri mama) Mama dansi kidogo (Mzuri mama) Na tabasamu lako kama maua (Mzuri mama, Mzuri mama) Mama dansi kidogo Niwe, niwe, niwe, niwe
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Sauti Sol