Mafunzo ya dunia

Album cover art for "Mafunzo ya dunia" by Sauti Sol

Sauti Sol - Pop

Mafunzo ya dunia

1 Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

Mafunzo ya dunia Niishi ni ose Nisote nikope Nipate ya wote Utatembea pengi Na macho ni mingi Sikio ni mbili Tumia akili Uwe wa kwanza Usiwe wa pili Maisha si movie katika hizi enzi Oooh dunia mbona hukunipa penzi Maisha haya kwako hapa ni magumu Ninavumilia mwisho nitajivunia ya dunia mbona hukunipa penzi Mimi nina shangaa (aaaaah) Mimi nishangaa Nilifanya nini Ili niishi ivi Maisha yangu yangu duni Naimba hii mziki nipate riziki Mwisho nitanawiri niendeshe mercedes Nitangaa shida za dunia niziache nyuma niendelee Dunia mbona hukunipa penzi Maisha haya kwangu hapa ni magumu Ninavumilia mwisho nitajivunia Ya dunia mbona hukunipa penzi Mimi ninashangaa (aaaaaah) Mimi ninashangaa

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found