Kuliko Jana

Album cover art for "Kuliko Jana" by Sauti Sol

Sauti Sol - Pop

Kuliko Jana

5.5K Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Chorus] Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana [Verse 1] Nakuomba Mungu uwasamehe Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema Na maadui wangu nawaombea maisha marefu Wazidi kuona ukinibariki Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita Ooh, na [Chorus] Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana [Bridge] Wewe ndio nategemea Kufa kupona baba nakutegemea (Amen) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea (Ooh-ooh, yeah) Wewe ndio nategemea (Amen) Kufa kupona baba nakutegemea (Oh-oh) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, wewe ndio nategemea) Wewe ndio nategemea Kufa kupona baba nakutegemea (Eh, bwana) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote) Wewe ndio nategemea (Kwa nguvu zangu zote) Kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea (Oh-oh-oh-oh) [Chorus] Na bwana ni mwokozi wangu Na tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana (Kuliko jana) Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana (Kuliko jana) Kuliko jana (Kuliko jana) Yesu nipende leo kuliko jana [Outro] Wewe ndio nategemea (Wewe) Kufa kupona baba nakutegemea (Wewe) Chochote kitanikatsia (Uh-huh) Kuingia mbinguni utaniondolea Wewe ndio nategemea (Ooh) Kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea Na bwana ni mwokozi wangu (Amen) Tena ni mkombozi wangu (Amen) Ananipenda leo kuliko jana (Amen) Baraka zake hazikwishi (Amen) Si kama binadamu habadiliki (Amen) Ananipenda leo kuliko jana (Amen) Kuliko jana Kuliko jana Nipende leo kuliko jana

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Aaron Rimbui
  • Bien (KEN)