Jali

Lyrics
Like you care, like you care Like you care (Ihaji made it) [Sanaipei] Rangi ya mdomo kwenye shirt Nina uhakika ile marashi sio yake Bado yuaja kwangu kitandani Akitaka tubanane Receipt kila kitu mbili Amejaa maalama kwenye mwili Bado yuaja kwangu kitandani Akitaka tubanane Anamlale ana mlala na sio siri Sio habari Anamlale ana mlala wala hafichi Sio habari Niliambiwa akupendaye Atakuchiti hadharani Niliambiwa akupendaye Hatakusitiri hadharani [Chorus] Jaribu kunidanganya kama wanijali eh Kama wanijali Jaribu kunidanganya kama wanijali eh Kama wanijali Jali jali jali mmh Jali jali jali mmh Jali jali jali mmh Jali jali jali mmh Like you care, like you care Like you care I say like you care, like you care Like you care [Nyashinski] Hata saa ile sidanganyi unasema mi nadanganya Utaskizaje maskio yako usazibana Macho yako yanaona vitu na hakuna kitu unafanya Hapo ndo tumefikana Nakuongеlesha nikiona unaona niko guilty Haimatter kitu nitasema, ndani ya roho inaumiza Naskia wivu nikiona walе wanapenda Bila kushughushushana vile inafaa Vile unataka kufanya fanya leo leo Ka napanda cheo cheo nipande ka nashuka Basi nianze kutafuta stage ya maji Jifanye ka una care pia utaniamini Uone vile nakuchangeia mami [Chorus] Jaribu kunidanganya kama wanijali eh Kama wanijali Jaribu kunidanganya kama wanijali eh Kama wanijali Jali jali jali mmh Jali jali jali Jali jali jali mmh Jali jali jali Like you care, like you care Like you care I say like you care, like you care Like you care [Nyashinski] Never let you down Never will Sanaipei Nyashin.. To the chiller, to the chiller Anamlale ana mlala na sio siri Sio habari Anamlale ana mlala wala hafichi Sio habari Jaribu kunidanganya kama wanijali eh Kama wanijali Jaribu kunidanganya kama wanijali eh Kama wanijali Jali jali jali mmh Jali jali jali Jali jali jali mmh Jali jali
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Nyashinski
- Sanaipei Tande