Huku

Lyrics
[Intro] Iyo,iyo iyo Iyo,iyo iyo Sho, Madjozi [Verse 1] Kwani mnataka Madjozi aje ama nini? Nyie hamnialiki Mbona mwenzako anasema ananipenda lakini Yeye haniambii Haweza akashindwa kifungo hata mia mbili Ila hanipigii, hivi nasema itabidi aongee ana mimi Lakini hanisikii [Pre-Chorus] Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikisii unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda a a a [Chorus] Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba wewe unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku [Post Chorus] Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku [Verse 2] Sasa ukiniona na watu unakasirika, roho inavunjika Siku uliniona natembea na arayika Kini hukuniita mpaka nyumbani umenitumia? Aje akipa kini hukunialika Wasa wanasema nionyeshe uacha kujificha Bila kuniambia [Pre-Chorus] Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikisii unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda [Chorus] Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba we unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku [Post Chorus] Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku [Outro] Sho, Huku huku Huku huku, Huku Aish, Sho!
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Sho Madjozi