Wanaweweseka

Album cover art for "Wanaweweseka" by Rayvanny

Rayvanny - Pop, Bongo Flava

Wanaweweseka

0 Plays

Duration: 3:23

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

[Intro] Uuuuuu Wanaweweseka hao! Wanaweweseka hao! [Verse 1] Wenye wivu wasijinyonge Ila wapigwe shoti wafe King'asti wangu yuko hapa hapa Usinishike bega niache Nakupa yote mung'unya, utamu wa pipi mate Baby, kwa mapenzi uko chuo Hauko tena kindergarten [Bridge] Marashi ya Pemba Amechanganya na Tanga huyu Mtoto kama Saida Karoli Anavyochambua karanga... Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda... L.O.V.E. (I love you) kama Kassim Mganga... [Pre-Chorus] Presha inapanda, presha inashuka Wanaovimba watapasuka Nikikupost namba Insta patachafuka Watatamani kuhack waje kufuta hao... Leleleeeeee [Chorus] Wanaweweseka hao! (wanakopa bando, watuperuzi) Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwaudhi) Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi) Wanaweweseka hao! [Verse 2] Ndege, tausi, maringo na tegeeee Umbo kifusi, nyuma kishindo... Nikubebeeeee, wenye chuki wakate shingo... Sitaki rede, ninabunduki na weka lindo... Udongo gani, ulo kufinyanga mwali wewe? Mganga gani, alopiga manyanga mwali weee? Majungu simtaji (ayayayaaa) Maneno sio radi (ayayayaaa) Jasho linawatoka maji (I love you daddy) [Bridge] Marashi ya Pemba Amechanganya na Tanga huyu Mtoto kama Saida Karoli Anavyochambua karanga... Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda... L.O.V.E. (I love you) kama Kassim Mganga... [Pre-Chorus] Presha inapanda, presha inashuka Wanaovimba watapasuka Nikikupost namba Insta patachafuka Watatamani kuhack waje kufuta hao... Leleleeeeee [Chorus] Wanaweweseka hao! (wanakopa bando, watuperuzi) Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwaudhi) Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi) Wanaweweseka hao!

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Rayvanny